ak

UADUI NA MAUWAJI YA HALAIKI KWA WAISLAMU NDANI YA AFRIKA YA KATI

Nchi ya Afrika ya Kati ni ardhi iliyokaliwa na Waislamu kwa zaidi ya karne saba. Utawala wa Waislamu wa Kanem-Bornu uliwahi kujimakinisha nchini humo kwa makarne. Pia katika mwaka wa 1875 ardhi hiyo iliwahi kuwa chini ya mtawala Sultan Rabih Az-Zubayr ambae alitawala ukanda  wote uliokuwa ukijuulikana kama Upper Oubangui (Bangui) unaohusisha eneo la Afrika [...]

Read more
bunge

Taarifa: BUNGE LA KATIBA HATUA YA KUTAPATAPA KWA UBEPARI

Karibuni Tume ya kuratibu maoni ya mchakato wa katiba mpya Tanzania ilimaliza muda wake na kukabidhi rasimu ya katiba hiyo kwa umma wa watanzania. Baadhi ya Waislamu walioathiriwa na fikra za kisekula nao walishiriki mchakato huu kwa kigezo cha kutetea maslahi ya Waislamu kama kundi jamii katika taifa la Tanzania. Na rasimu ya katiba ilipotoka [...]

Read more
geniva

Muungano (wa upinzani nchini Syria) umezama hata kichwa chake kizima katika ujambazi wa (mkutano wa) Geneva kwa amri ya (waziri wa mashauri ya nje wa Marekani) Kerry na mwenzake Ford

بسم الله الرحمن الرحيم                                                    ﴿سَيُصِيبُ الَّذِينَ أَجْرَمُوا صَغَارٌ عِنْدَ اللَّهِ وَعَذَابٌ شَدِيدٌ بِمَا كَانُوا يَمْكُرُونَ﴾ “Itawafikia wahalifu udhalilifu mbele ya Allah na adhabu kali kwa sababu ya hila walizokuwa wakifanya!” [TMQ Al-An’aam:124] Kiongozi mkuu wa Muungano wa upinzani nchini Syria Ahmed Jarba ametangaza usiku wa Jumapili tarehe 18/01/2014 kukubali agizo la Kerry na Ford [...]

Read more
prison

TAASISI ZA ULINZI ZA TATARSTAN ZATESA WAISLAMU KINYAMA

Mwisho wa mwezi wa Januari 2014, kumepokewa taarifa kutoka Tatarstan kuhusiana na kukamatwa kwa Waislamu kadhaa. Masuala ya upekuzi, kuwekwa mahabusu, kutekwa nyara,  mateso na kufunguliwa kesi yamekuwa ni mambo ya kawaida yanayozidisha uchungu wa kufikisha habari hizi nzito. Pasina kutaja kwamba mateso ya Waislamu yameenea na kuendelea ndani ya Urusi nzima wala sio tu [...]

Read more
animal

UJANGILI WA UINGEREZA NA MAREKANI NI MKUBWA KULIKO WA WANYAMAPORI

Gazeti la The Citizen la tarehe 13/02/2014 limeripoti taarifa juu ya kuchukizwa na kukasirishwa serikali ya Tanzania kutokana na gazeti la The Mail on Sunday la Uingereza la Februari 8 2014 kufedhehi nchi ya Tanzania kwamba inaongoza kwa vitendo vya ujangili wa wanyama pori na magendo ya wanyama hao . http://www.thecitizen.co.tz/News/Govt-fury-over-UK-poaching–allegation/-/1840392/2200910/-/m7poyc/-/index.html. Aidha, gazeti hilo lilieleza [...]

Read more
valentine

UOVU WA SIKU YA WAPENDANAO (VALENTINE’SDAY)

Katika nchi nyingi hususan za Ki-magharibi, msemo wa “acha msimu wa mapenzi uanze” unaanza kusikika tena. Ni wakati kama huu wa Februari 14 ndani ya kila mwaka ambapo maua, stika, kadi za mapenzi, kukiri makosa ya kimapenzi na miadi ya kimapenzi hutolewa baina ya wapendanao. Februari 14 inajulikana kama siku ya St. Valentine. Huu ni [...]

Read more
party

“KITCHEN PARTY” SHEREHE YA ‘UMASLAHI’NA KUSHINDWA UBEPARI KUMUANDAA BINTI KWA MAISHA YA NDOA

Zama zetu hizi tumeshuhudia mambo mengi mageni katika macho yetu. Kwa bahati mbaya hata wazee walioishi zaidi ya nusu karne wamejikuta wakiburuzwa kuyapokea kibubusa  bila ya kujiuliza maswali kwamba yametoka wapi au yatawapeleka wapi. Moja wapo ni hili suala la “kitchen party”. Kitchen Party ni sherehe ambayo hufanyiwa mtoto wa kike kwa ajili ya kuagwa [...]

Read more
masjid musa

Taarifa: UVAMIZI NA DHULMA NDANI YA MASJID MUSSA: KENYA YAJIANGAMIZA KWA GHARAMA DUNI YA KUWARIDHISHA MABWANA ZAKE MAREKANI NA UINGEREZA

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيم Kabla ya yote tunatanguliza mkono wa dhati wa taazia kwa ndugu zetu waliodhulumiwa kwa kuuwawa bila ya hatia ndani ya Masjid Mussa mjini Mombasa. Aidha, tunakunjuwa mkono wetu wa faraja na kuwapa pole wote waliodhuriwa katika majeruhi na walioshikwa. Tunamuomba Allah Taala kwa Utukufu wake Awasamehe ndugu zetu waliouwawa kwa dhulma [...]

Read more
prophet

MAKAFIRI WAPOTOA UDHATI SAHIHI WA MTUME (SAAW)

Bila shaka Allah katupatia kigezo chema kwa Mtume wake SAAW. Lakini makafiri hawaridhiki na hilo. Katika vita vyao kwa Waislamu, daima makafiri huwa na dhamira nyingi ikiwemo kuondosha ufahamu safi wa Shakhsia/haiba ya Mtume SAAW. Na hili wamefanikiwa kwa kiasi fulani. Leo ukizungumzia kwa Waislamu walio wengi kuhusiana na shakhsiya ya Mtume (SAAW), watakueleza namna [...]

Read more
iran

NYUKLIA YA IRAN SIO YA KUTISHIA MAKAFIRI

Nchi tano kubwa za Marekani , Uingereza , Urusi , Uchina ,Ufaransa, zenye kauli Ulimwenguni  pamoja na Umoja wa Ulaya  chini ya Mwakilishi wa Jumuiya hiyo wa Masuala ya Siasa za nje na Sera za Usalama Bi Catherine Ashton zimetiliana saini mkataba na Iran  wa kuiondolea Iran uwezo wa kumiliki silaha za nyuklia. Mawafikiano hayo [...]

Read more
PIC1

JANGA LA BIR-MAUN:DUA BEGA KWA BEGA NA SIASA NA JESHI

Moja katika matukio ya kuhuzunisha katika  tareekh ya Uislamu ni janga la mauwaji ya Waislamu katika eneo la Bir-Ma’una (Kisima cha Ma’una). Mauwaji haya yaliotokea katika zama za Mtume SAAW ndani ya mwezi kama huu wa Safar (4 Hijri). Ikumbukwe kwamba siku chache kabla ya janga hili pia makafiri wa Banu Lihyan walitenda mauwaji kama [...]

Read more
mandela

MANDELA AFARIKI ILHALI UBAGUZI NA UBEPARI WASHTADI AFRIKA YA KUSINI

Majuzi tumepokea taarifa za kifo cha Nelson Mandela almaarufu kama Madiba.  Mandela alikuwa ndiye rais wa kwanza wa serikali ya jamhuri ya Afrika Kusini  baada ya kile kinachoitwa kumalizika kwa ubaguzi wa rangi. Mandela alikubali kuvumilia kukaa miaka zaidi ya 20 jela kwa lengo la kuung’oa utawala wa kidhalimu wa kikaburu ndani ya Afrika Kusini. [...]

Read more
aids

MAPAMBANO YA ‘KISANII’ DHIDI YA UKIMWI

Siku ya tarehe 1 Disemba ya kila mwaka imetangazwa kimataifa kuwa  ‘Siku ya Ukimwi’. Maradhi ambayo mpaka sasa bado hayana kinga wala tiba, huku yakiwa miongoni mwa maradhi yanayogharimu maisha ya watu wengi ulimwenguni.  Siku hii ya Disemba Mosi hufanywa ni siku ya kukumbuka maafa na madhara makubwa yanayoletwa na ukimwi, uhamasishaji wa kupima, kuelimishana [...]

Read more
MSIKIT

MSIKITI MKONGWE KIGAMBONI: ATHARI YA UZINDUZI KWA WAISLAMU

Kutoka Jarida la Khilafah Dhulhijjah 1434  Mwezi uliopita Mashababu wa Hizb-ut-Tahrir jijini Dar-se Salaam walifanya ziara ya jengo la misikiti mkongwe maeneo ya Gezaulole, Kigamboni- Dar es salaam. Msikiti huo mkongwe umekuwepo kwa zaidi ya miaka mia nne (400) licha ya kuwa haujulikani sana wala kupewa umuhimu uanostahiki na serikali. Msikiti huo mkongwe ni miongoni [...]

Read more
KARIBU

KWAHERI MAREKANI, KARIBU KHILAFAH

Kutoka Jarida la Khilafah Dhulhijjah 1434 Hili sasa sio tena uvumi. Bali suala la wazi kuwa taifa la Marekani linaanguka kwa kasi na halina tena uwezo wa kunyanyuka. Zile tambo na majigambo yake yamezidi kupoteza athari yake katika anga za kimataifa. Hivi karibuni sote tumeshuhudia serikali ya Marekani ikifunga baadhi ya shughuli zake za kiserikali [...]

Read more
UMOJA

UDUGU WA KWELI WA KIISLAMU

Tafsiri ya udugu inatofautiana  baina ya watu na watu. Wengine huona ni udugu wa damu, udugu unaowakutanisha watu katika  jumuiya zenye maslahi ya pamoja. Na wengine huona udugu ni katika vyama vinavyounganisha watu wa jamii fulani  au watu wa fani fulani. Uislamu umekuja na tafsiri yake thabiti isiyobadilika juu ya dhana ya udugu. Na umekuja [...]

Read more
umar

WANAUME CHUKUENI MAFUNZO KUTOKA KWA KHALIFAH UMAR BIN KHATTAB

Ummu Naima Katika mwezi wa Novemba ndio ndani yake alipofariki Khalifa Umar Ra. siku chache baada ya kuchapwa kwa upanga na maadui wa Allah Taala. Katika maisha ya Umar tuna mengi ya kujifunza katika ushujaa, uchamungu, uadilifu , ujasiri, muhanga na kukubali kwake haki. Leo nataka tuangazie suala la namna alivyokuwa Umar katika kukubali kwake [...]

Read more
food

SIKU YA CHAKULA DUNIANI – FEDHEHA KWA MFUMO WA DEMOKRASIA

Suleiman A. Mbarouk Kila inapofika siku ya tarehe 16/10 ya kila mwaka Shirika la Chakula Duniani (FAO) huidhamisha Ulimwengu mzima kuwa ni siku  ya chakula Duniani. Wakitoa mwito maarufu wa kupambana na njaa na umasikini. Huku wakijisahaulisha udhaifu wa mfumo wao wa kibepari na mipango mibovu ya nidhamu yao ya uchumi ya mfumo inayosababisha  hali [...]

Read more
KATIABA

KATIBA ZA KIDEMOKRASIA NI HARAMU NA ZINAGONGANA NA AKILI

Katiba za kibinadamu licha ya kuwa ni haramu moja kwa moja Kiislamu kwa kuwa ziko kinyume na Uislamu. Bali kwa udhati wake pia zina mapungufu makubwa na zinapingana hata na akili ya mwanaadamu lau mwanadamu huyo atakuwa mchambuzi na mwerevu kidogo tu. Kama tutakavyoonesha mbele InshaAllah. Katiba ambayo ndiyo sheria mama kwayo sheria nyengine zote [...]

Read more
shutdown

USITISHAJI WA SHUGHULI ZA SERIKALI MAREKANI NI ISHARA YA UBABAISHAJI KATIKA UCHUMI WA KIBEPARI

Juhudi za kuutatua mgogoro wa bajeti nchini Marekani ziligonga mwamba mara kadhaa kabla ya wanachama wa vyama vya Republican na Democrat kuwafikiana karibuni juu ya serikali kuruhusiwa kuongeza deni lake. (Dira ya dunia-Idhaa ya Kiswahili ya BBC) Mkwamo huu uliifanya serikali ya Marekani kusitisha baadhi ya shughuli zake kwa muda na kuzusha tafrani miongoni mwa [...]

Read more
Eid-Mubarak.2

EID-AL- ADHHAA IUNGANISHE WAISLAMU WOTE DUNIANI

Sikukuu  ya Eid al-adha ndio Sikukuu kubwa kwa Waislamu. Siku hii huadhimishwa  baada ya Waislamu  kukamilisha  utekelezaji wa  Ibada muhimu ya hijja katika nyumba tukufu ya Al ka’aba Makka. Ibada ya Hijja huwakutanisha Waislamu kutoka pembe zote za dunia na inavyotakiwa  ndani yake wapewe ujumbe mzito wa masaibu yanayowakuta na kupata mbinu ya kukabiliana nayo [...]

Read more
hajji2

HIJJA YATHIBITISHA UMOJA WA KIMAUMBILE KWA UMMAH WETU

Waislamu  kwa mamilioni kutoka maeneo mbali mbali ulimwenguni tayari wanaendelea kutekeleza ibada ya Hijjah katika mji mtukufu wa Makkah. Ibada hii inatukumbusha wito alioutoa Nabii Ibrahim AS pale alipoamrishwa na Allah SWT kuwatangazia watu kwenda kuhiji katika nyumba tukufu ya Al- Kaaba. Allah Taala anasema:   وَأَذِّنْ فِي النَّاسِ بِالْحَجِّ يَأْتُوكَ رِجَالاً وَعَلَى كُلِّ ضَامِرٍ [...]

Read more
JITIMAI

IJTIMAI ZINAHITAJI UONI MPANA WA KIMFUMO

Ijumaa ya tarehe 27/09/2013, Ijtimai ya Kimataifa ilianza kwa muda wa siku tatu katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa. Ijtimai iliyowahusiha Waislamu wa ndani na nje ya nchi. Zaidi ya shilingi za Tanzania milioni 19 zilitumika katika maandalizi ya Ijtimai hiyo. Ijtimai hizi hufanyika maeneo mbalimbali nchini, na hapana shaka wengi wetu tumezishuhudia katika maeneo [...]

Read more